Share this Post

dailyvideo

Iyobo: Hata Kama Aunt Amenizidi UmriIyobo: Hata Kama Aunt Amenizidi Umri


DANSA  wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL juzikati, Iyobo.

alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt
ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.

“Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa  na Aunt. Nategemeaanizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale wanaosema nina mke mwingine, si kweli yule nilizaa naye tu lakini kwa Aunt ndiyo nimefika,” alisema Iyobo ambaye ana umri wa miaka 23.

Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399

Posted by Editor on 12:46. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Iyobo: Hata Kama Aunt Amenizidi Umri

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery